NACTVET WAKUTANISHA WADAU WA ELIMU ZAIDI YA 260 DODOMA

Na Okuly Julius, Dodoma   Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Dkt. Adolf Rutayuga,leo tarehe 9 Mei,2024, jijini Dodoma, amefungua rasmi kikao cha wadau, kinachojumuisha Wakuu wa vyuo na maafisa udahili ambao jumla yao ni 267, kinachojadili masuala ya udahili na upimaji, ili kubaini dosari…

Read More

Benjamin Mkapa warahisishiwa usafirishaji wa wagonjwa

Dodoma. Changamoto ya ukosefu wa gari la kubebea wagonjwa linaloweza kumudu kupita barabara mbaya limepatiwa ufumbuzi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa. Hospitali hiyo imepata gari aina ya Toyota Land Cruiser (Hardtop) lenye kitanda cha mgonjwa, mtungi wa oksijeni na mkoba wa dawa. Gari hilo limekabidhiwa leo Alhamisi Mei 9, 2024 na Mbunge wa Dodoma Mjini,…

Read More

DKT.BITEKO ATAKA Ma-DC, Ma-DAS NA Ma-DED KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI KWA KUZINGATIA SHERIA

📌Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria 📌Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo 📌Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua migogoro ya ardhi 📌Wakafanyie kazi mapendekezo ya ripoti ya Haki Jinai Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmshauri nchini…

Read More

MWAROBAINI MGOGORO WA ARDHI VIJIJI VINNE KUJULIKANA MWEZI JUNI, DC SAME ATULIZA MZUKA WA WANANCHI.

NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewataka wananchi kwenye maeneo yote yenye mgogoro wa mipaka katika vijiji vinne vya Bangalala, Makanya, Nasulo na Mwembe kutoendelea na shughuli yeyote mpaka hapo mwezi June mwaka huu Serikali itakapotoa ufumbuzi wa mgogoro huo. Mkuu huyo wa Wilaya amezungumza hayo kwenye mkutano…

Read More