PICHA: GSM afika kwenye Godown mpya ya kisasa ya Silent ocean ltd iliyopo Foshan China
Ni Mkurugenzi na Rais wa kampuni ya GSM Group of Companies, Ghalib Said Mohamed ambae time hii amefika kwenye ofisi za Silent Ocean ltd kwenye Godown mpya ya kisasa iliyopo huko Foshan huko China. Hizi ni baadhi picha mbalimbali zikimuonesha akiwa na wafanyakazi wa Silent Ocean Ltd Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Silent Ocean China…