Mageuzi makubwa Sekta ya Ardhi yanakuja-Silaa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema mageuzi makubwa Sekta ya ardhi yanakuja baada ya kushuhudia utiaji saini kati ya Wizara yake na Mtaalamu Mshauri wa Mradi Mkubwa wa Kuimarisha na Kuboresha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) wenye thamani takribani Sh Bilioni 150. Waziri Silaa…

Read More

Hali ya haki za binadamu Somalia inatia wasiwasi – DW – 09.05.2024

Katika mkutano na waandishi wa habari, Isha Dyfan ambaye ni mjumbe wa Umoja wa Mataifa ameweka bayana na kuelezea wasiwasi wake kutokana ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Somalia inayokabiliwa na machafuko ya kivita. “Kuhusu hali ya usalama nchini humo, Somalia inazidi kukabiliwa na changamoto si haba. Raia na hasa wanawake na watoto wangali wanaathirika pakubwa kutokana na…

Read More

Samia: Mradi Liganga, Mchuchuma uanze

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara na ya Mipango na Uwekezaji kukamilisha mchakato wa kuipata kampuni itakayowezesha kuanza kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma. Kuanza kwa mradi huo uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe haraka kunalenga kuwezesha upatikanaji wa malighafi kwa ajili ya kiwanda cha kuunganisha magari makubwa…

Read More