WHO yasaini mkataba wa ushirikiano na wadau wa afya kutoka Mashirika yasiyo ya kiserikali 11 nchini
Shirika la Afya Duniani WHO limesaini mkataba wa ushirikiano na Wadau wa Afya kutoka Mashirika yasiyo ya kiserikali 11, kufanya kazi kwa pamoja katika sekta ya afya nchini ambapo huduma za Afva kwa wananchi zitaimarika. Akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji Saini huo Msimamizi wa Programu Elimu ya Afya – WHO NEEMA KILEO, amesema…