Wanachopaswa kufanya maofisa Tehama taasisi za Serikali
Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikijizatiti katika matumizi ya teknolojia, ikiwamo kwenye uhifadhi wa taarifa muhimu, wadau wameshauri taasisi zinazotumia mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliani (Tehama) kuongeza ufanisi zaidi. Serikali tayari imeanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika matumizi ya mfumo wa Tehama na imeandaa mwongozo wa matumizi bora, sahihi na salama…