JKT YAENDELEA NA UJENZI WA MAHANGA

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiweka  jiwe la Msingi  ujenzi wa Mahanga ya Vijana katika kikosi cha 824 KJ Kanembwa,Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma. Na.Alex Sonna-KAKONKO JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kutoa fedha nyingi za maendeleo kwa ajili ya ujenzi wa  miundombinu na majengo  ili…

Read More

WHO, mashirika 11 yaungana kuboresha huduma za afya

Dar es Salaam. Katika kuboresha huduma za afya nchini, Shirika la Afya Duniani (WHO) limeingia makubaliano na mashirika 11 yasiyo ya kiserikali kutekeleza mambo manne, ikiwamo kudhibiti na kuzuia magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Maeneo mengine ni kuimarisha mfumo wa huduma za afya, utoaji wa elimu ya afya, na kusaidia utafiti na ubunifu. Baadhi ya taasisi…

Read More

SERIKALI KUJENGA KITUO CHA KUPOZA UMEME NA SWITCHING STATION SONGWE- MHE. KAPINGA

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme itakayoboresha upatikanaji umeme mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa kituo cha umeme na switching station . Naibu Waziri Kapinga amesema hayo tarehe 8 Mei, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge Mbozi, Mhe. George Mwenisongole aliyetaka kufahamu…

Read More

Ujio madaktari bingwa Morogoro mkombozi kwa wananchi

Baada ya timu ya madaktari bingwa 55 wa Dokta Samia Sukuhu Hasaan kuwasili mkoani Morogoro Kwa ajili ya kuanza kutoka matibabu ya kibingwa wakazi wa Mji huo wameshukuru huduma hiyo na kusema kuwa inasaidia Kwani huduma hizo wangezipata hospitali zingine Kwa gharama Kubwa. Amina Juma ni mmoja wa wagonjwa waliofika katika.hospitali hiyo anasema akikua anasumbuliwa…

Read More

TIC yapewa tuzo kwa uhamasisha uwekezaji Afrika

Dar es Salaam. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimepewa heshima ya kutajwa kuwa “Shirika la Kuhamasisha Uwekezaji Lililopiga Hatua zaidi Barani Afrika” katika mkutano wa kila mwaka wa uwekezaji (AIM) 2024 unaofanyika Abu Dhabi Falme za Kiarabu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TIC leo Mei 8, 2024, tuzo hiyo imepokewa na Katibu Mkuu, Ofisi…

Read More

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS SAMIA UZINDUZI MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi mbalimbali wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei,…

Read More

BARRICK ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Mfanyakazi bora wa Barrick, Dativa Katabaro, akipokea zawadi kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk.Philip Mpango. Wafanyakazi wa mgodi wa Barrick waliochaguliwa wafanyakazi bora wakipokea vyeti kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Anamringi Macha. Wafanyakazi wa mgodi wa Barrick waliochaguliwa wafanyakazi bora wakipokea vyeti kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Anamringi…

Read More

Serikali kuimarisha huduma za maabara ngazi ya msingi

Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wafadhili wa Global Fund wametoa vifaa vya Tehama kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kusaidia kuongeza upatikanaji wa Huduma bora za maabara na afya kwa ngazi ya msingi. Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi na Matengenezo ya Vifaa Tiba, Dkt. Alex Magesa wakati akimwakilisha…

Read More