Wawili mbaroni tuhuma za kuendesha mikopo ‘kausha damu’ Dodoma
Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia wafanyabiashara wawili kwa tuhuma za kuendesha mikopo ya ‘kausha damu’ bila kibali. Wakopaji wanatakiwa kurejesha riba ya mkopo waliyochukua kati ya asilimia 20 hadi 40 huku riba iliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ni asilimia 3.5. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Mei 8, 2024 na Kamanda wa…