Zaidi ya nusu ya magereza yameacha kutumia kuni, mkaa
Dar es Salaam. Zaidi ya nusu ya magereza nchini, yamehama kutoka matumizi ya kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia na sasa yanatumia nishati safi. Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dk Seleman Jafo hatua hiyo ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia…