Katibu mkuu Maganga aipongeza WCF kwa utendaji kazi kwa kufuata viwango vya kimataifa.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mary Maganga, ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa utoaji huduma unaofuata viwango vya Kimataifa katika kushughulikia masuala ya fidia kwa wafanyakazi. Katibu Mkuu Maganga amesema huduma wanazotoa WCF tayari zimekidhi vigezo vya Shirika la Kimataifa la Viwango ikiwa ni, menejimenti ya…