VIDEO: CCM yakoleza moto wa fedha chafu Chadema
Dar es Salaam. Ikiwa imepita takribani wiki moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kudai kuna fedha zimemwagwa kuvuruga uchaguzi wa ndani ya chama hicho, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukichunguza chama hicho. Mbali na Ofisi ya Msajili, CCM pia wameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana…