Guterres azitaka Israel, Hamas kusitisha mapigano – DW – 07.05.2024
Akizungumza na waandishi wa habari jijini New York siku ya Jumanne (Mei 7), Katibu Mkuu wa Umoja huo, Antonio Guterres, aliita siku hiyo kuwa siku ya wasiwasi mkubwa, akimaanisha hatua iliyochukuliwa na Israel kutuma vifaru vyake kwenye mji wa Rafah unaowahifadhi mamilioni ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, hata baada ya raia kushinda usiku kucha…