MADAKTARI BINGWA WABOBEZI 50 WA DKT SAMIA WAWEKA KAMBI LINDI.
Madaktari bingwa na wabobezi wa Dkt.Samia Suluhu Hassan wameweka kambi Mkoani Lindi katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo kwa lengo la kuanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa. Madaktari hao ni kutoka katika Hospitali za rufaa za Amana,Temeke,Mwananyamara,Ligula na hospitali ya kanda ya kusini wanatoa huduma hizo za kibingwa kuanzia Mei 6 hadi 10,2024….