Majaliwa ataka wateule wa Rais kusimamia haki
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa kuyasimamia na kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. Aidha, amesisitiza kwamba ni lazima viongozi na watendaji wa Serikali wawe na uelewa wa kutosha ili waweze kuyasimamia na kuyatekeleza mapendekezo hayo. Waziri Mkuu amebainisha hayo leo Mei 6, 2024 wakati akifungua warsha ya…