WATAALAMU WA VINASABA TUMIENI TEKNOLOJIA,WELEDI UWE KIPAUMBELE KWENYE MAJUKUMU YENU: DKT. JINGU

Na.mwandishi wetu_Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, ametoa rai kwa kamati ya kitaalamu wanaofanya uchunguzi wa Vinasaba vya Binadamu kuzingatia matumizi ya teknolojia huku wakizingatia weledi na kufuata maadili ya kazi ili kuepuka madhara au migogoro inayoweza kujitokeza. Dkt. Jingu amesema hayo leo 6 Mei, 2024 jijini Dodoma wakati akizindua Kamati…

Read More

Matibabu ya kibingwa na bobezi kupatikana ngazi za msingi

Iringa. Huduma za afya za kibingwa na ubingwa bobezi sasa zimeanza kupatikana katika afya ya msingi, baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mpango wa kambi za madaktari bingwa waliosambaa nchi nzima, kutoa matibabu kwenye hospitali zote 184 za halmashauri. Kwa kawaida, kambi za huduma za madaktari bingwa, zimekuwa zikifanyika katika hospitali za rufaa za kanda au…

Read More

Marubani wa ATCL kutoa shule ya Airbus Nigeria

Dar es Salaam. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limeingia makubaliano ya kupeleka marubani wake,  kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya Ndege ya Ibom iliyopo nchini Nigeria. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi, amethibitisha kuwepo kwa makubaliano hayo,  ambapo amesema ATCL imetoa marubani wake waandamizi wawili ambao watakuwa na jukumu la…

Read More