Jacob na Malisa wafikishwa kortini Kisutu
Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati Godlisten Malisa, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na sheria. Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakamani hapo Leo, Jumatatu Mei 5, 2024 na kusomewa mashtaka yao na wakili wa Serikali, Neema Moshi akishirikiana na Happy…