BRIGEDIA JENERALI MABENA AZINDUA MAHANGA 15 YA VIJANA 825 KJ MTABILA
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua Mahanga 15 ya Vijana katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Na.Alex Sonna_KASULU MKUU wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi,…