Wananchi wataka vijana wanaotuhumiwa kwa ulawiti waondolewe kijijini
Siha. Wananchi wa kata ya Sanya juu iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kufanya msako katika Soko la Sanya juu ili kuwaondoa vijana wanaolala kwenye stoo za kuhifadhia mizigo, kwa kuwa wamekuwa wakifanya vitendo vya ukatili ikiwamo ubakaji na ulawiti. Mbali na kufanya vitendo hivyo vya ukatili, pia, wanatuhumiwa kutumia dawa za kulevya…