MSONDE AWATAKA WALIMU KUBUNI NYEZO KUTAMBUA UWEZO WA MWANAFUNZI

Naibu Karibu Mkuu Wizara ya Tamisemi anaeyeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka walimu kutumia moja ya Kanuni za kuchunguza uwezo wa mwanafunzi na kutumia nyezo zitakazomwezesha mwanafunzi huyo kuelewa vizuri masomo badala ya kuharakisha kumaliza mada (Topics). Dkt. Msonde amesema hayo wakati akizungumza na walimu wa shule mbalimbali za Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe katika…

Read More

UBALOZI WA MAREKANI KUENDELEZA MASHIRIKIANO NA CHUO CHA MIPANGO DODOMA

Na Mwandishi Wetu, Dodoma. BALOZI wa Marekani nchini Tanzania, Michael Anthony Battle amesema Serikali yake itaendelea kuimarisha uhusiano wa kikazi na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) ili kuchochea kasi na juhudi ya Serikali ya Tanzania katika kutokomeza umaskini. Ameeleza kufurahishwa na namna ya kitaalamu na kizalendo ambayo chuo hicho kimekuwa kikitekeleza programu mbalimbali…

Read More

Tanzania  yasisitiza kuwa Kituo Kikuu cha Uchimbaji Madini Afrika

Tanzania imeendelea kusisitiza adhma yake ya kuwa kituo kikuu cha uchimbaji madini barani Afrika, kupitia  hatua zake mbalimbali za kimkakati na kiujumuishi ikiwemo sera zake zinazotoa motisha kwa wawekezaji sambamba mazingira bora ya uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Dk. Steven Kiruswa, Naibu Waziri wa Madini, alitangaza dhamira hiyo wakati wa majadiliano kwenye Uzinduzi wa Mkutano…

Read More

Wakunga waeleza kinachoshusha morali ya kazi

Unguja. Licha ya wakunga kuwa watendaji wakuu wa kutoa huduma kwa mama na mtoto kwenye sekta ya afya, wamesema wanakabiliwa na changamoto nyingi, hivyo kushusha morali ya utendaji wao. Miongoni mwa changamoto hizo ni kushindwa kutambuliwa mchango wao wanapofanya vizuri, bali hupokea lawama wanapokosea kutokana na sababu za kibinadamu kama uchovu unaotokana na kufanya kazi…

Read More