Wafuga kuku wafundwa kufuga kisasa
Kagera. Wafugaji zaidi ya 400 kutoka wilaya saba za Mkoa wa Kagera wamepatiwa mafunzo ya ufugaji kuku wa kienyeji kwa njia za kisasa na kibiashara ili wapate tija na kuinua uchumi wao. Mafunzo hayo yamefanyika leo Jumapili Mei 5, 2024 na kampuni ya uzalishaji kuku na vifaranga ya Silverlands Tanzania Limited inayopatikana mkoani Iringa yakiwashirikisha…