Hidaya apoteza nguvu baada ya kuingia Mafia

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kupitia mwendelezo wa taarifa zake kuhusu kimbunga Hidaya imesema kimekosa nguvu baada ya kuingia nchi kavu katika Kisiwa cha Mafia. Taarifa hiyo imetolewa jana Jumamosi Mei 4, 2024 saa 5.59 usiku. “Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa wa kilichokuwa kimbunga Hidaya zilizokuwa zikitolewa na TMA…

Read More

Kamati ya Bunge yaridhishwa na maelekezo wanayotoa kwa DART

*DART yaahidi kufanyia kazi maelekezo mengine kiutendaji Na Chalila Kibuda, Michuzi TV Kamati ya Bunge ya Kudumu ya TAMISEMI imesema kuwa imeridhishwa maelekezo wanayotoa kwa Wakala wa Mabasi yaendayo (Haraka) yanafanyiwa kazi. Hayo ameyasema Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Justin Nyamoga wakati Kamati hiyo ilipotembelea Miradi ya Mabasi yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam amesema…

Read More

RC MAKONDA ATANGAZA WIKI YA HAKI ARUSHA

Makonda akizungumza na waandishi wa habari Leo. Mei 3/4/2024 amewaalika wananchi kuleta kero mbalimbali ikiwemo kudhulumiwa au kunyanyaswa kijinsia Na. Vero Ignatus,Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ametangaza wiki ya Haki mkoani hapa huku akiwataka wananchi kama yupo aliyedhulumiwa au kufanyiwa ukatili Kufika ofisi ni kwake siku ya Jumatano Akizungumza na wanahabari…

Read More

RC Mtaka amjia juu afisa kilimo kwa kushindwa kusimamia mradi

Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewaagiza wataalamu wa serikali kushirikiana na taasisi binafsi zinazotekeleza miradi mkoani humo kutekeleza miradi yao kwa ufanisi na kupata matokeo chanya kutokana na fedha nyingi wanazotumia kwenye utekelezaji wa miradi hiyo. Mtaka ametoa maagizo hayo wilayani Wanging’ombe baada ya kushindwa kuridhishwa na kazi anayoifanya afisa kilimo wa kata…

Read More

MSAADA WA AMREF NA CDC YAWANUFAISHA WANAFUNZI 3,000 HANANG’

Na Mwandishi wetu, Hanang’ SHIRIKA la Amref Tanzania na shirika la Marekani la kudhibiti na kuzuia magonjwa (CDC) limewanufaisha wanafunzi 3,000 wa shule za msingi na sekondari wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, baada ya kuwajengea miundombinu ya kudhibiti magonjwa ya milipuko. Mashirika hayo yamewanufaisha wanafunzi hao kwa kuzindua maeneo ya kunawa mikono na kukarabati vyoo….

Read More

WABUNGE WASHIRIKI SEMINA YA UELEWA KUHUSU MRADI WA SGR

WIZARA ya Uchukuzi kupitia Shirka la Reli Tanzania – TRC limefanya semina elekezi kwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa – SGR unaoendelea, semina imefanyika katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, Mei 2023. Lengo la Semina ni kuwajengea uelewa wa pamoja wabunge…

Read More

Kasi ya ACT Wazalendo na tathmini ya miaka 10 ijayo

Kigoma. Safari ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Chama cha ACT Wazalendo inaandikwa leo usiku, huku viongozi wake wakitabiri taswira ya chama hicho katika miaka kumi ijayo. Kwa mtazamo wa viongozi hao, katika miaka 10 ijayo, ACT Wazalendo ndicho kitakachoshika hatamu ya uongozi serikalini, kielelezo cha ushirikishwaji wa vijana katika siasa na taswira halisi ya…

Read More