Hidaya, kipindupindu, mafuriko vyatishia ukuaji wa maendeleo
Dar es Salaam. Unaweza kusema baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zipo katikati ya majanga ya asili. Majanga hayo yametokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya baadhi ya nchi za Afrika Mashariki ambazo zimesababisha vifo, majeraha, upotevu wa mali, uharibifu wa miundombinu na mlipuko wa magonjwa. Hadi sasa Tanzania, Kenya, Rwanda, Burundi na…