Wavuvi waendelea na kazi licha ya tishio la Kimbunga Hidaya

Lindi/Mtwara. Wakati kukiwa na tishio la Kimbunga Hidaya, baadhi ya wavuvi mikoa ya mwambao wa pwani wameonekana wakiendelea na kazi zao kama kawaida. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa kimbunga hicho kikiwa na upepo mkali na kuwatahadharisha watumiaji wa bahari kuwa makini ili kuepuka madhara. Akizungumza na Mwananchi Digital…

Read More

Wavuvi Mto Kilombero walia athari za mafuriko

Morogoro. Wavuvi katika Mto Kilombero wameeleza athari walizozipata kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na Mwananchi Digital jana Ijumaa Mei 3, 2024, mwenyekiti wa kambi ya wavuvi katika Mto Kilombero, Amani Timoth ametaja athari hizo kuwa ni kupungua kwa  samaki wakubwa na wale adimu waliokuwa wakiwauza kwa bei ya faida kubwa. “Mto huu ni maarufu…

Read More

HUDUMA YA MWENDOKASI IANZE MBAGALA’ MHE NYAMOGA

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya kikazi ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa mabasi yaendayo haraka Akiongea na wananchi wa eneo la Mbagala Kijichi Mhe.Nyamoga ameitaka serikali kuhakikisha wanapeleka huduma ya mabasi katika…

Read More

Kada ya wanadiplomasia yanukia, Serikali yatoa neno

Arusha. Katika utekelezaji wa mkakati wa diplomasia ya uchumi, Serikali inatarajia kuanzisha mpango wa kujenga kada ya wanadiplomasia wenye uwezo mkubwa nchini. Imesema mpango huo unalenga kusaidia nchi kuwa na rasilimali watu mahiri na wenye ujuzi, maarifa na weledi wenye kuweza kushindana na wanadiplomasia kutoka katika mataifa mengine katika maswala ya kiuchumi. Hayo yameelezwa jana…

Read More

Aliyekuwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo afariki dunia

Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo amefariki dunia jana Mei 3, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa ya kutangaza kifo chake iliyotolewa na familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam. Maziko yake yanatarajiwa kufanyika nyumbani…

Read More

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasilini, alimpe fidia ya fedha kiasi cha Sh. 80 milioni, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia, kwa kosa la kumchafua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Amri hiyo ilitolewa juzi tarehe 2 Mei 2024 na mahakama hiyo…

Read More

Wakazi wa Kiponzelo marufuku kuanzisha vilabu bubu nyumbani

Iringa. Ofisa Tarafa ya Kiponzelo, wilayani Iringa, Rukia Hassan amesema umeibuka mtindo wa baadhi ya watu kuanzisha vilabuni vya pombe za kienyeji kiholela kwenye nyumba zao, jambo linalohatarisha ustawi wa watoto. Amesema imefika hatua mtu akitengeneza  pombe hizo, wateja wanaenda kununua na kunywea nyumbani jambo ambalo haliwezi kukubalika na kuachwa liendelee. Akizungumza na Mwananchi leo…

Read More