Madiwani CCM, maofisa ushirika wadakwa wakidaiwa kuuza tumbaku kwa kangomba
Dodoma. Madiwani wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na maofisa ushirika watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kufanya biashara ya tumbaku kwa mtindo wa kangomba. Akihitimisha hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2024/25 jana usiku Ijumaa, Mei 3, 2024, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema alimshukuru mkuu wa Mkoa…