TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA VIPODOZI KUSAJILI BIDHAA HIZO
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabishara wa bidhaa za vipodozi kuhakikisha wanasajili bidhaa zao , kuthibitisha ubora wake pamoja na kusajili maeneo yanayohusika na uzalishaji, uuzaji na uhifadhi kwa mujibu wa matakwa ya sheria ya viwango Sura ya 130 ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza. Wito huo umetolewa leo Mei…