Uongozi Kariakoo, wafanyabiashara wavutana | Mwananchi
Dar es Salaam. Wakati mchakato wa kurejesha wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam ukikaribia, baadhi yao wametoa malalamiko kuwa hawajashirikishwa katika suala hilo. Wakati wafanyabiashara hao wakitoa malalamiko hayo, uongozi wa Soko la Kariakaoo umesema ingekuwa vigumu kuwashirikisha katika kila hatua wakati soko likiwa katika hatua ya ujenzi. “Kuzungumza na waandishi…