Wananchi wa Tabata Kisukuru waiomba Serikali kuwapatia makazi baada ya nyumba zaidi ya 10 kusombwa na maji
Wananchi wa Tabata Kisukuru Banebane mtaa wa Tutu, wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam wameiomba Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan iwasaidie makazi kufatia tukio la kuporomoka kwa Nyumba zaidi ya 10 zilizopakana na njia ya maji ya bonde la mto msimbazi iliyopita Tabata Kisukuru. Akizungumza leo mbele ya Waandishi wa Habari Jijini…