Waziri Ummy atangaza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba

SERIKALI imesema imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi katika Bara la Afrika na kuwa nchi ya kutembelewa kwa ajili ya utalii tiba kutokana na uboreshanji wa miundombinu ya afya maeneo yote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hayo yamesemwa  jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, alipokuwa akifungua…

Read More

Mahakama Yaelezwa Nathwani Alivyomjeruhi Jirani Yake

Watuhumiwa Bharat Nathwani (katikati) na mke wake Sangita Bharat anayeshuka ngazi wakishuka ngazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo kesi yenye mashtaka manne dhidi yao ikiwemo kumjeruhi jirani yao inasikilizwa. Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa jinsi wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) walivyomshambulia…

Read More

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Serikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha Sh tatu bilioni kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mpiji ili kuunganisha Kibaha na Kibwengere Wilaya ya Ubungo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yameelezwa leo Ijumaa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), Zainabu Katimba wakati akijibu…

Read More

Serikali yataka subira magari ya Zanzibar kutambulika Bara

Dodoma. Serikali imewataka wabunge wawe na subira wakati Serikali ikiendelea na utaratibu wa marekebisho ya sheria itakayowezesha vyombo vya usafiri vilivyosajiliwa Zanzibar kutambulika Tanzania Bara. Hayo yamesemwa bungeni leo Ijumaa Mei 3, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Daniel Sillo wakati akijibu swali la Bakar Hamad Bakar, mbunge wa Baraza la Wawakilishi (BLW)….

Read More

Tanzania Sasa Kitovu cha Matibabu ya Kibingwa

Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akiangalia maonyesho  kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA). mkutano huo wa siku mbili unaendelea jijini Dar es Salam na utamaliza Mei 3,2024. Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa…

Read More

JKT kuzalisha lita milioni 28 za mafuta ya mawese

Kigoma. Katika kupambana na changamoto ya uhaba wa mafuta ya kula nchini, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linatajia kuzalisha lita za milioni 28 za mafuta ya mawese. Takwimu zilizotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka 2021, mahitaji ya mafuta ya kula nchini ni tani 570, 000 wakati uzalishaji nchini ni tani 210,000 tu. Mwenyekiti wa…

Read More