PICHA
Na.Alex Sonna-KIGOMA Zaidi ya wananchi 300,000 wamenufaika na mbegu za kisasa za mchikichi zinazozalishwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha 821 Bulombora mkoani Kigoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kukagua…