Lissu: Fedha zimemwagwa kuvuruga uchaguzi Chadema
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameonya matumizi ya fedha katika chaguzi za ndani ya chama hicho, akiwataka wanachama kuwa makini na fedha alizodai “zimemwagwa kuvuruga uchaguzi huo.” Lissu pia amesema kuna ugomvi mkubwa katika Kanda ya Nyasa kutokana na uchaguzi wa ndani wa chama hicho, hivyo amewaonya wanachama wa chama hicho…