WATAALAMU WALIOSOMA JAPAN WACHOCHEA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
:::::::: Wataalamu wa Kitanzania waliopata mafunzo nchini Japan wameelezwa kuwa rasilimali muhimu katika kuharakisha maendeleo ya sekta mbalimbali kwa kutumia ujuzi na teknolojia walizojifunza nje ya nchi. Akizungumza katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya Rais – Utumishi, Fadhili Mitimingi, amesema ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Japan International…