Madereva Tanga – Horohoro wagoma, kisa hiki hapa
Tanga. Madereva wanaofanya safari zao kutoka Tanga Mjini kwenda wilaya ya Mkinga eneo la Horohoro ulipo mpaka wa Tanzania na Kenya, wamegoma kusafirisha abiria kutokana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (Latra) kushusha nauli huku bei ya mafuta ikiwa imepanda. Akizungumza katika Stendi ya Mwembe Mawazo ulipofanyika mgomo huo, leo Mei 2, 2024, Makamu…