Video ya Davido akipiga goti kwa mchepuko yavujishwa,mwenyewe atolea majibu

Wanamuziki wawili maarufu nchini Nigeria, Wizkid na Davido, wamewasha moto mitandao ya kijamii kwa kurushiana maneno, na kuwavutia mashabiki nchini na kote nchini. Ushindani kati ya mastaa hawa wawili wa afrobeat, ambao kila mmoja unaongoza mamilioni ya wafuasi duniani kote, umegawanya wapenda muziki wa Nigeria katika kambi kali: “Team Wizkid” au “Team Davido”. Lakini bado…

Read More

Waisraeli waandamana kutaka mapigano yasitishwe Gaza – DW – 02.05.2024

Jamaa wa mateka wa Israel wanaoshikiliwa na kundi la Hamas waliingia mitaani siku ya Alkhamis (Mei 2) kuishinikiza serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kundi hilo ili kurejeshwa kwa mateka wanaoshikiliwa na kwenye Ukanda wa Gaza.  Katika mji mkuu, Tel Aviv, waandamanaji waliweka vizuizi kwenye barabara kuu nyakati za asubuhi,…

Read More

UWT yatoa tamko kauli ya Serikali juu ya watoto njiti

Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania – UWT inayoongozwa Mwenyekiti wake Mary Pius Chatanda imetoa shukrani na pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kulipa kipaumbele suala la afya hususai mama na mtoto ikiwa ni pamoja na kuboresha mazingira…

Read More

CSSC YAPONGEZWA KUBORESHA HUDUMA ZA FAMASI NCHINI 

KAIMU Mganga Mkuu wa Serikali Ziada Sellah,akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka pamoja na kusherehekea mafanikio ya Mradi wa kuboresha mafunzo na huduma za famasi nchini (MAP-QPS) awamu ya pili uliokwenda sambamba na uzinduzi wa mifumo ya TEHAMA na ugawaji wa vitabu vya Famasi jijini Dodoma. CSSC YASHEREKEA MAFANIKIO MRADI WA KUBORESHA MAFUNZO NA…

Read More