Borussia Dortmund imeifunga Paris Saint German 1-0 – DW – 02.05.2024
Ulikuwa mchuano mkali na aina yake ambapo tathmini zilionesha Paris Saint-Germain, kuutawala mchezo dhidi ya Borussia Dortmund ingawa yote, kwa yote mpira magoli. Dakika tisini zilipokamilika ikawa ni Dortmund moja PSG sifuri. Mshambulizi wa Borussia Dortmund Niclas Füllkrug kwa wakati wote ndie aliganda katika vichwa vya mashabiki wa Borussia Dortmund baada ya kuipa bao pekee…