NEMC YAPIGA KAMBI KANDA YA ZIWA, ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA ZEBAKI YATOLEWA .
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali pamoja na Ofisi ya Afisa madini Mkazi Mkoa wa Mwanza wametoa elimu ya matumizi sahihi ya zebaki kwa wachimbaji kutoka mgodi wa Chata, Shokeraera, Shilalo na luhala zilizopo Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza Akitoa elimu…