Ruto aahidi kuhamishwa wananchi ambao wamekubwa na mafuriko – DW – 01.05.2024
Kwa mara ya kwanza tangu kutokea kwa mkasa wa Mai Mahiu ambapo bwawa lilivunja kingo zake na kusababisha mauti ya zaidi ya watu 70, Rais Ruto alifanya ziara kwa mara ya kwanza, alipokutana na waathriwa. Rais akitoa mwelekeo kuhusu mvua kubwa zinazoshuhudiwa maeneo mengi nchini Kenya. Amewataka wakazi walio kwenye sehemu hatari kuhamia nyanda za…