WAHARIRI, WAANDISHI WA HABARI DAR WAPATIWA MITUNGI 100 YA KUPIKIA YA ORYX – MWANAHARAKATI MZALENDO
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi ya gesi 100 ya kilo 15 yakiwa na majiko yake yenye sahani mbili kwa wahariri na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Akizungumza leo Aprili…