Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5
Wanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha wamefanya matendo ya huruma kwa kutoa fedha na vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 11,557,000/= ambavyo vimekabidhiwa kwa vituo vinne vyenye uhitaji maalum. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Michezo ya Mei Mosi Taifa, Roselyne Massam Aprili 30, 2024 jijini Arusha…