Netanyahu aapa kuushambulia mji wa Rafah – DW – 30.04.2024
Netanyahu ametoa kauli hiyo licha ya mshirika wake mkuu Marekani kudhihirisha wasiwasi mkubwa kuhusu uwezekano wa kutekelezwa hatua hiyo. Waziri huyo Mkuu wa Israel ambaye ameapa kulitokomeza kabisa kundi la Hamas baada ya shambulio lao la Oktoba 7, amewaambia familia za baadhi ya mateka ambao bado wanashikiliwa huko Gaza kwamba kamwe hawatositisha vita kabla ya…