Wanasheria Tanzania wapewa ujuzi kukabili uhalifu mtandao

Dar es Salaam. Ili kuimarisha utaalamu na mbinu za kisheria katika kukabiliana na uhalifu wa mtandao, Serikali inashirikiana na Urusi kubadilishana uzoefu na elimu juu ya masuala hayo. Katika kufanikisha hilo, wataalamu kutoka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Urusi wamewasili nchini na kutoa mafunzo kwa wanafunzi na wanataaluma ya sheria kuhusu masuala hayo. Ushirikiano…

Read More

KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC) KUJENGWA ARUSHA

Mkurugenzi Mtendaji kituo cha uwekezaji Tanzania TIC Bw. Gilead Teri akizungumza na katika kongamano la uwekezaji katika Ukumbi wa mkutano Gran Melia Jijini Arusha, Aprili 30, 2024. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika kongamano la uwekezaji kwenye sekta ya Utalii Jijini Arusha Leo 30april 2024 Waziri wa…

Read More

Serikali kujenga nyumba 562 za walimu

Dodoma. Serikali imesema mwaka wa fedha 2024/25, itajenga jumla ya nyumba za walimu 562 zinazotosha familia 1,124. Hayo yamesemwa leo Jumanne Aprili 30, 2024 na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainabu Katimba wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Jacqueline Andrew. Andrew amehoji mpango wa Serikali katika kujenga…

Read More

Marekani yakhofia mauaji ya kimbari Darfur – DW – 30.04.2024

Marekani imezitaka nchi zote zinazopeleka silaha kwa pande mbili zinazopambana katika vita nchini Sudan kusitisha hatua hiyo.Marekani imeonya kwamba historia inajirudia katika jimbo la Darfur,Magharibi mwa Sudan ambako yaliwahi kushuhudiwa mauaji ya halaiki miaka 20 iliyopita.  Kikao cha dharura cha baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Sudan kilikuwa cha faragha na balozi wa…

Read More

Kahawa kuuzwa kwa ‘bajaji’ kukuza soko

Dodoma. Katika kuongeza masoko ya kahawa inayozalishwa nchini, Serikali imebuni na kutengeneza migahawa inayotembea kwa kutumia pikipiki za miguu mitatu kwa ajili ya kuuza kahawa katika maeneo mbalimbali ya umma na kwenye mikusanyiko ya watu. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema leo Jumanne Aprili 30, 2024 wakati wa kujibu swali la msingi la Mbunge…

Read More

MIILI MITANO ILIYOSOMBWA NA MAFURIKO MOSHI YAAGWA.

NA WILLIUM PAUL, MOSHI.  MIILI mitano kati ya saba iliyosombwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali katika kata ya Kimochi na Mbokomu wilaya ya Moshi imeagwa leo katika viwanja vya KDC. Mafuriko hayo yaliyotokea usiku wa kuamkia Aprili 25 mwaka huu ambapo katika miili hiyo marehemu wanne ni wa familia moja akiwamo…

Read More

Wahitimu UDSM Five Class 2007 wanajambo lao

Na Mzandishi Wetu, Mtanzania Digital Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM) five Class 2007 wanatarajia kukutana jijini Dar es Salaam kubadilishana mawazo na kushirikishana fursa mbalimbali za maendeleo. Akizungumza na Mtanzania Digital leo Aprili 30,2024 jijini Dar es Salaam, Kiongozi wa wahitimu hao, Frank Gwaluma amesema kikao hicho kitafanyika The Deck…

Read More