Mazungumzo ya uchafuzi wa plastiki yapiga hatua – DW – 30.04.2024
Kwa mara ya kwanza katika mazungumzo hayo, wajumbe kutoka nchi 175 na waangalizi walijadili rasimu ya kile kitakachokuwa mkataba wa kimataifa wa kukomesha janga la plastiki ambayo hupatikana kila mahali kuanzia vilele vya milima hadi vilindi vya bahari, ndani ya damu na maziwa ya binaadamu. Soma pia: Viongozi wajadili mkataba wa taka za plastiki Kikao cha…