Mvua sio kikwazo tena DSM, Meridianbet yaja na mbinu mbadala kwa bodaboda

Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri nakasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam nakuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbetwamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili yajua la asubuhi linavyochomoza,…

Read More

Bashungwa awaondoa watendaji Kivuko cha Magogoni – Kigamboni

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wanaosimamia usafiri wa kivuko kati ya Magogoni – Kigamboni na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma kwa wananchi wanaotumia kivuko hicho. Walioondolewa ni Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini, Mhandisi Lukombe…

Read More

Muhas yahadharisha hofu magonjwa ya mlipuko

Dar es Salaam. Wakati kukiwa na minong’ono ya uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya maeneo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Mohamed Mang’una amesema hakuna mgonjwa aliyethibitishwa kuugua maradhi hayo. Kwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Huduma za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Profesa Tumaini Nyamhanga…

Read More

EWURA YAPATA TUZO USIMAMIZI BORA MIRADI YA KIMKAKATI

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko (kushoto) akimpatia tuzo ya EWURA, Ofisa wa EWURA anayehusika na ushirikishwaji wa wazawa katika Miradi ya Mafuta na Gesi Asilia nchini, Bw. Joseph Mboma (wa pili kulia). Mchumi kutoka EWURA,Bw. Joseph Mboma,akiwa ameshika ngao na cheti kilichotolewa kwa Mamlaka ya Udhibiti wa…

Read More

Kukazia hukumu kwatajwa kikwazo utoaji haki

Dar es Salaam. Wabunge wametaka utaratibu wa kukazia hukumu mtu anaposhinda kesi uangaliwe upya kwa kupeleka muswada wa mabadiliko ya sheria bungeni. Wabunge Mashimba Ndaki wa Maswa Magharibi na Edward Ole Lekaita wa Kiteto wameitaka Serikali ibadilishe sheria ya kukazia hukumu wakisema ni mlolongo mrefu, badala yake mtu anaposhinda kesi akabidhiwe haki yake bila kuchelewa….

Read More

Washukiwa wa ‘mapinduzi’ Ujerumani wafikishwa mahakamani – DW – 29.04.2024

Wanachama tisa wa kundi hilo linaloongozwa na mfanyabiashara na mwanamfalme, Heinrich XIII Reuss, waliwasili kwenye mahakama ya mji wa kusini magharibi mwa Ujerumani, Stuttgart, wakisindikizwa na maafisa wa usalama siku ya Jumatatu (Aprili 29). Miongoni mwa washitakiwa hao alikuwamo mwanajeshi mmoja wa kikosi maalum, mbunge mmoja wa zamani wa chama cha siasa kali za mrengo wa…

Read More

TANZANIA, MISRI YAENDELEZA MAKUBALIANO SEKTA YA AFYA

  Na. WAF – Dodoma Serikali ya Tanzania na Misri ziliingia mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Afya na Shirika la ALAMEDA Healthcare Group Oktoba, 2022 ili kushirikiana katika nyanja ya Afya hasa upande wa huduma za kimatibabu kwa kubadilishana uzoefu, usimamizi wa hospitali na matibabu ya wagonjwa wa Kimataifa. Waziri wa Afya Mhe….

Read More

Waziri Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu – DW – 29.04.2024

Hatua iliyochukuliwa na Humza Yousaf inaashiria anguko la kushangaza la  chama tawala Scotland cha SNP na inaimarisha nafasi ya chama cha upinzani cha Labour katika  kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi unaotarajiwa mwaka huu. Yousaf alisema anajiuzulu baada ya wiki iliyoshuhudia mivutano ya kisiasa iliyosababishwa na serikali yake kufuta makubaliano ya muungano na  chama cha kijani. Aidha…

Read More

SERIKALI KUFANYIA KAZI MADENI YA VYOMBO VYA HABARI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kuilinda taaluma ya habari kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi wa sekta hiyo nchini. Ameyasema hayo leo Aprili 29, 2024 jijini Dodoma wakati akihutubia Jukwaa la Wahariri katika Mkutano wa 13 wa mwaka…

Read More