Viongozi wa Afrika wataka ufadhili zaidi wa mataifa tajiri – DW – 29.04.2024
Kwenye Kongamano la Maendeleo ya Kimataifa IDA linaloendelea jijini Nairobi nchini Kenya viongozi hao wamesema ili kufanikisha malengo hayo pana haja ya kufanywa mageuzi kwenye asasi za kimataifa ambazo hufadhili mataifa yanayostawi. Rais William Ruto wa Kenya aliyefungua rasmi Kongamano hilo la siku mbili, alitangulia kwa kupaza sauti kwa mashirika wafadhili kuitikia mchango wa Chama…