DPP awafutia mashtaka watuhumiwa watatu wa mauaji Geita
Geita. Mahakama Kuu Kanda ya Geita imewaachia huru washtakiwa watatu, Malale Magaka, James Malimi na Kijinga Lugata waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya mtu waliyemtuhumu kuiba mbuzi. Washtakiwa hao wameachiwa huku baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa mahakamani akisema hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yao. Watuhumiwa hao wanashtakiwa kwa kumuua kwa…