Songwe katika mikakati ya elimu ya lishe kudhibiti udumavu
SERIKALI mkoani Songwe imejipanga kuendelea kutoa elimu ya lishe kwa wananchi ngazi ya vijiji kata na wilaya ili kudhibiti ukondefu na udumavu. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe … (endelea). Mkoa wa Songwe ni moja ya mikoa nchini yenye kiwango cha juu cha udumavu,ambapo kwa sasa ina asi limia 31.9 kiwango kikubwa kuliko cha kitaifa cha…