NBC yatunukiwa tuzo ya mwezeshaji bora wa mikopo Afrika
Dar es Salaam. Benki ya NBC imepata tuzo ya mwezeshaji bora wa pamoja wa mikopo ya serikali kuu barani Afrika kwa mwaka 2023 katika Tuzo za Benki za EMEA. Tuzo hiyo inalenga kutambua jitihada za benki ya NBC kama mwezeshaji mkuu wa mkopo wa Dola za Marekani 200 milioni kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…