Kenya,Tanzania na Burundi zakumbwa na mafuriko mabaya zaidi – DW – 28.04.2024
Watu 76 wamepoteza maisha nchini Kenya kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa za masika zilizoanza kunyesha tangu mwezi Machi. Serikali nchini humo imetoa tahadhari kwa wananchi kujiandaa kwa mvua kubwa zaidi. Mafuriko yasababisha adha kwa wananchi KenyaPicha: REUTERS Msemaji wa serikali ya Kenya Isaac Mwaura alisema, barabara na vitongoji vimefurika maji na zaidi ya…