Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited kutimiza masharti ya mkataba wa ubia wa uwekezaji  wa kutoa msaada wa kiufundi kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Utulivu kilichopo eneo la Bululu, Wilayani Nyangh’wale Mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mavunde ameyasema hayo jana tarehe 27 Aprili 2024 katika Kijiji…

Read More

KONA YA MAUKI: Je, una kiu na ndoa yenye mafanikio?

Somo hili ni kwa ajili ya watu wenye ndoto ya kuwa na ndoa zenye mafanikio. Kama huna mpango wa kufunga ndoa hili somo si kwa ajili yako. Watu wengi wamekuwa wakifundishwa na kuelewa kwamba tunachotakiwa kuwa nacho ili tuishi kwenye ndoa ni upendo peke yake, upendo ukiwepo basi hakuna haja ya kingine chochote, mengine yatakuja…

Read More

Dk. Jafo aipongeza Oryx kumuunga mkono Samia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Dk. Selemeni Jafo ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas Tanzania kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha nishati safi ya kupikia nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …(endelea). Dk. Jafo ameyasema hayo leo Jumamosi jijini Arusha katika…

Read More

Wataka shule zote zifundishe ufundi, ujasiriamali

Mbeya. Serikali imeombwa kuweka mkazo kwa shule zote za sekondari nchini, zifundishe pia masomo ya ufundi na ujasiriamali, kwa lengo la kumuandaa mhitimu  kujiajiri badala ya kusubiri kuajiriwa. Imeelezwa kwa kufanya hivyo, kutasaidia kuondoa dhana ya wengi kuwa mtu anasoma ili aje kuajiriwa. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Aprili 27, 2024 na Mkuu wa Shule ya…

Read More

Mama asimulia ukuta ulivyodondoka na kuua watoto wake wanne

Dar es Salaam. “Sijui nimemkosea nini Mungu, amenipa adhabu kali inayoacha alama isiyofutika katika maisha yangu.” Haya ni maneno ya Mariamu Julius, aliyoitoa wakati akisimulia jinsi ajali ya ukuta wa nyumba ya jirani ulivyodondokea kwenye nyumba yake na kuchukua uhai wa watoto wake wanne. Amesema kama Mungu angempa kipawa cha kutabiri ajali hiyo kutokea au…

Read More