Mhadhiri Udom ataka Muungano ufundishwe shuleni
Dodoma. Ili kuuenzi vema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka somo hilo, litakalofundishwa shuleni kuanzia ngazi za chini katika pande zote mbili za Tanzania Bara na Zanzibar kwa faida ya vizazi vijavyo. Ushauri uliotolewa na jana Alhamisi Aprili 25, 2024 na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) katika Shule Kuu…