Nyamoga atoa neno kwa Tarura marekebisha ya barabara sehemu korofi
Iringa. Salamu ya Mhandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) kutoka Tamisemi, Emmanuel Mhiliwa ya ‘Kihesa Mgagao hoyeee’ na kujibiwa ‘hoi’ ilitosha kuonyesha wananchi wamekasirika. Hayo yamejiri leo Ijumaa Aprili 26, 2024 katika ziara ya mbunge wa Kilolo, Justine Nyamoga aliyefika kukagua athari za mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi nchini. Wananchi hao wa Kijiji cha…