Mafuriko yakatisha safari mabasi yaendayo haraka Dar
Dar es Salaam. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) imesitisha safari zake kupitia barabara za Morogoro na Kawawa jijini Dar es Salaami kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini na kusababisha mafuriko eneo la Jangwani na Mkwajuni. Hii si mara ya kwanza kuchukuliwa kwa hatua hiyo, mwanzoni mwa wiki hii Dart ilisitisha huduma kati ya…